Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

GOLAFOUNDATION imeuanza mwaka 2017 kwa kutembelea baadhi ya sehemu mkoani Arusha maeneo ya Arumeru kwa kutembea zaidi ya masaa 6 bila kupumzika na kufanikiwa kujifunza mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kilimo cha kisasa cha APPLE kinacho fanywa na kampuni ya GREEN HOUSE mkoani humo.