Tunaomba ENVAYA waendelee kutoa fursa kwa NGO nyingi zaidi kujiunga katika website hii.
4 Machi, 2011
Malehiwa (Geita- Nyang'ware) alisema:
Shirika la ENVAYA linajitahidi lakini naomba isiwe nguvu ya soda mhamasishe zaidi hizi NGO ili ziweze kusambaa ikiwezekana zifike hadi kijijini ili kukwamua maisha ya watanzania waishio vijijini.
Maoni (2)