Jitihada za kupambana na umasikini zinapaswa kuwa za mtu mmojammoja ndani ya familia kwa kufanya linalowezekana, hii ni familia inayojihusisha na kilimo cha mbogamboga(vitunguu), kilimo hiki kinawaingizia kipato kwa ajili ya kukidhi mahitaji muhimu ya familia kama chakula,elimu kwa watoto na huduma ya afya kwa wote.
Tusibeze kilimo kwani kinaokoa wenye nia na juhudi.
Maoni (1)
Tusibeze kilimo kwani kinaokoa wenye nia na juhudi.