Fungua
Victory Youth Support Organization

Victory Youth Support Organization

morogoro, Tanzania

Tarehe 13 June 2014 shirika la vijana Viyoso la mjini Morogoro lilitembele na kuwaona watoto yatima wano lelewa katika kituo cha watoto cha mgolole Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza kwa niaba ya kituo Mlezi mkuu Sista Yasinta aliwashukuru vijana hao kwa moyo wa lio uonyesha na kuitaka jamii kuiga mfano wa shirika hilo la vijana

Akiongezea sista Yasinta alisema "watoto hawa wanafarijika sana wanapowaona mnawatembelea kwani jukumu hili si la mgolole tu pali ni Jamii yote ya Morogoro"

19 Juni, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.