France socia security sevices ilianza 2010 chini ya uongozi wa joseph france frank ina wanachama 25 lengo ni kuwasaidia yatima na watoto wa mitaani na limefanikiwa kuwa na watot o 30 na tunaomba msaada wa kuliendeleza shilika letu kwa maelezo zaidi 0752628550 kauli mbiu ni wasaidie yatima kwa maendeleo ya kesho shilika halijasajiliwa MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI FSSS