Hapa ni Engineer Maganga kutoka SNV-Mwanza aliyekuwa ameambatana na timu kutoka Wizara ya maji na Ofisi ya waziri mkuu serikali za mitaa iliyofika wilayani Ukerewe katika kuona mafanikio ya jumuiya za watumiaji maji zilizoanzishwa na kusajiliwa kwa mujibu wa sera na sheria ya Maji. Timu ya Maji na usafi wa mazingira ya halimashauri ya wilaya ya Ukerewe wamewezesha baadhi ya vyombo vya watumiaji maji kuanzishwa. Tukio hili lilifanyika Ijumaa ya tarehe 14/06/2013 katika kitongoji cha KIZULE kata ya Ngoma.
June 15, 2013