Envaya

Envaya

Kutoa Maoni juu ya Habari

Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka Kiingereza, lakini tamko la Kiswahili ni la zamani. Ona asili · Hariri tafsiri
Msaada : Kushirikiana na Mashirika Mengine

Kutoa Maoni juu ya Habari

Wakati unaposoma taarifa ya habari iliyochapishwa na shirika jingine kwenye Envaya, unaweza kuchapisha maoni yako kwenye ukurasa wao, na kuanza mazungumzo nao.

Chini ya taarifa ya habari, tembeza kwa Ongeza maoni au Add a comment.

Ingiza maoni yako, jina lako, na sehemu yako, kisha bonyeza kitufe cha Chapisha maoni. Baada ya hapo, labda Envaya itakuhitaji kuingia maneno ya kuthibitisha kabla ya maoni yako kuchapishwa. Kama huna uhakika jinsi ya kusoma maneno ya kuthibitisha, fanya kisio na kujaribu tena kama si sahihi.

Maoni yoyote ambayo unayachapisha yataonekana na watu wote wanaosoma taarifa ya habari kwenye tovuti ya shirika hilo.