Fungua
Elimu na mazingira

Elimu na mazingira

Arusha, Tanzania

1. Elimu ya utunzaji ya mazingira

2. kilimo hai

3. vyoo rahisi kwenye nyanda kame

Mabadiliko Mapya
Elimu na mazingira imehariri ukurasa wa Miradi.
1.kutoa elimu kuhusu usafi wa mazingira na matumizi sahihi ya vyoo. – 2.kupanda miti kwenye vyanzo vya maji. – 3.uvunaji maji ya mvua. – 4.ujenzi wa vyoo rahisi kwenye nyanda kame kwa lengo la kurutubisha ardhi na kuweza kupanda miti kwenye maeneo hayo na ikamea vizuri mifano ya ya... Soma zaidi
7 Mei, 2013
Elimu na mazingira imeumba ukurasa wa Mkuu.
1. Elimu ya utunzaji ya mazingira – 2. kilimo hai – 3. vyoo rahisi kwenye nyanda kame
7 Mei, 2013
Elimu na mazingira imeongeza Habari.
tunategemea kuanzisha vitalu vya miti vijiji ngarenanyukie na ngwandua na ilkurot mwaka2014. vitalu vya miti tutakavyo anzisha itakuwa na miti ambayo inafaa kuotesha kwenye vyanzo vya maji kwani vyanzo vingi vya maji vinaanzia mlima meru
7 Mei, 2013
Elimu na mazingira imehariri ukurasa wa Historia.
shirika la mazingira elimu lilianza mwaka 1999 katika kijiji cha Ilikisongo wakati wa mradi wa utafiti toka ujerumani ulipoingia ulioutafiti kwenye mboga mboga kwaajili ya visumbufu vya mimea.Hatimaye kusajiliwa rasmi mwaka 2010.Hivyo shirika lilisajiliwa rasmi mwaka 2010 na linaendelea na kazi za jamii ya watanzania kwa... Soma zaidi
15 Juni, 2012
Elimu na mazingira imehariri ukurasa wa Miradi.
1.kutoa elimu kuhusu usafi wa mazingira na matumizi sahihi ya vyoo. – 2.kupanda miti kwenye vyanzo vya maji. – 3.uvunaji maji ya mvua. – 4.ujenzi wa vyoo rahisi kwenye nyanda kame kwa lengo la kurutubisha ardhi na kuweza kupanda miti kwenye maeneo hayo na ikamea vizuri mifano ya ya... Soma zaidi
15 Juni, 2012
Elimu na mazingira imeumba ukurasa wa Timu.
1.MESHACK MICHAEL-CO-ORDINATOR – 2.HAPPYNESS MOITA-PROGRAM COO-ORDINATOR – 3.PETER RAPHAEL-TRESURER
7 Juni, 2012
Sekta
Sehemu