Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Obema frank mwaikwabe, huyu nimwanafunzi washure ya msingi itete ni yatima anae soma katika mazingra mgumu
Charity roving organazation [chariot] jana lilitembelea kitongoji cha itete kugawa nguo na viatu kwa watoto, ni mchango ulitumwa na watu wa Dar es salaam. vitongoji vitakavyo fuatia logombo,na ipoma.