Envaya

ELIMISHA

FCS Narrative Report

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

ELIMISHA
ELIMISHA
Kuboresha uwezo wa kiutendaji wa viongozi na wanachama wa asasi ya ELIMISHA
FCS/RSG/1/11/124
Dates: Julai 07,2011Quarter(s): Septemba 17,2011
Festo Sikagonamo S.L.P. 220 Mbeya Tanzania simu 0754 350 377 / 0715 350 377

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
1.Umekidhi kwa kiwango kikubwa kwa kuwa mafunzo hayo yametujengea uwezo wa kupima matokeo na walengwa wa mradi ambao ni viongozi na wananchama wa asasi ya ELIMISHA sasa wamepata mafunzo ya kubuni miradi,uendeshaji na utawala wa asasi.

2.Asasi ya ELIMISHA imeandaa mpango mkakati wake wa kipindi cha miaka mitatu (3) kwanzia 2012, 2013 na 2014 ambao utawezesha kufanya shughuli za asasi kwa ufanisi.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
Mbeya
MbeyaViongozi na wanachama 16 wa asasi ya ELIMISHA
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female9(No Response)
Male11(No Response)
Total20(No Response)

Project Outputs and Activities

1.Wanachama na viongozi wa 16 ELIMISHA wamepata mafunzo ya uendeshaji wa asasi na usimamizi wa fedha ifikapo Septemba 2011
2.Uwepo wa mpango mkakati wa asasi wa miaka mitatu ifikapo Septemba 2011
1.Kufanya mafunzo ya siku mbili kwa wanachama 16 juu ya uendeshaji wa asasi (kuhusu kubuni miradi, usimamizi, miongozo mbalimbali, majukumu , wajibu na mawasiliano.
2.Kuitisha na kufanya warsha ya siku 4 ikihusisha wadau na wanachama wa 16 katika kuandaa mpango mkakati wa asasi.
1.Ilifanyika kazi ya kutoa taarifa kwa walengwa na kuandaa mafunzo ya siku mbili ambayo yalifanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe Hotel tarehe 17 na 18 Septemba 2011 kwa wananchama na viongozi wa asasi ya ELIMISHA, juu ya uelewa wa masuala ya uendeshaji wa asasi, miongozo mbalimbali, wajibu na majukumu yao pia masuala ya mawasiliano ndani na nje ya asasi.
2.Ilifanyika kazi ya kutoa taarifa kwa walengwa na kuandaa warasha ya siku nne (4) ambayo yalifanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe Hotel tarehe Oktoba 02,2011-Oktoba 05,2011 ikihusisha wananchama na wadau kwa ajili ya kuandaa mpango mkakati wa asasi wa miaka mitatu kwanzia 2012, 2013 na 2014.
Hakukua na tofauti yeyote
1.Katika shughuli namba 1 ya mafunzo ya siku mbili kwa wanachama 16 juu ya uendeshaji wa asasi (kuhusu kubuni miradi, usimamizi, miongozo mbalimbali, majukumu , wajibu na mawasiliano. Zilitumika Jumla y ash. 1,589,800/=.
2.Katika shughuli ya pili ya kuandaa mpango mkakati mkakati zilitumika jula y ash. 2,635,400/=

Project Outcomes and Impact

1.Wanachama na viongozi 16 wa ELIMISHA wamepata mafunzo ya uendeshaji wa asasi na usimamizi wa fedha ifikapo Septemba 2011
2.Uwepo wa mpango mkakati wa asasi wa miaka mitatu ifikapo Septemba 2011.
1. Wananchama na viongozi wa asasi wamepata uelewa wa masuala ya kubuni, kuandika na kuendesha miradi.
2.Kumekuwepo na miongozo ya fedha.
3.Mpango mkakati wa miaka mitatu umepatikana.
1.Baadhi ya walengwa wa mradi licha ya kuendesha shughuli za asasi kwa ufanisi pia wanatumia mafunzo waliyopata kuanzisha na kuendesha miradi yao pamoja na kutoa elimu hiyo kwa watu wengine wa maeneo wanakotoka.
2.Wengine tayari wameanzisha miradi na wanaendelea kuisimamia bila vikwazo vya kutojua hesabu kama ilivyokuwa hapo awali.
Siku za kuanda mpango mkakati zilikuwa chache kutokana na ufinyu wa bajeti ya fedha.

Lessons Learned

Explanation
Njia ya kuibua miradi
Kutambua tatizo linaloikabiori Jamii lengwa
Kuchanganua wazo la mradi kwa kutumia NUFUVI(SWOT).
Mahitaji ya Utelezaji wa Mradi.
Ufadhili wa Ndani na Nje.
Uandishi bora wa Mradi

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Siku za mafunzo zilikuwa ndogo kutokana na bajejiTuliongeza muda wa ziada

Linkages

StakeholderHow you worked with them
1.AMANI THE FOUNDATION OF THE LIFE Tulishirikiana nao namna ya kuandaa mpango mkakati wa asasi wa miaka mitatu
2.Viongozi wa chama cha viziwi mkoa wa Mbeya (CHAVITA) Mchango wa mawazo yao ulisaidia sana katika uandaji wa mpango makakati.
3.Mtu wa idara ya mipnago na maendeleo ya jamii kutoka wilaya ya MboziMchango wake ulikuwa mkubwa kutokana na uzoefu wake wa masuala ya jamii ambao ndio walengwa wa mpango mkakati wa asasi yetu
4.KALANGALI AGRICULTURAL AND ENVIRONMENTAL ADVOCACY Mawazo yao yalikuwa ni muhimu sana katika kuandaa mpango mkakati

Future Plans

(No Response)

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale1(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total1(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male2(No Response)
Total20
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale2(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total2(No Response)
YouthFemale11(No Response)
Male9(No Response)
Total200
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku (MYG) June 26-Julai 01, 20111.Upangaji na usimamizi wa miradi
2.Bao mantiki kama zana ya kupanga na kufuatilia utekelezaji wa mradi
3.Mpango kazi
4.Ufuatiliaji & Tathmini
5.Taarifa ya utekelezaji
6.Usimamizi wa fedha
7.Uandishi wa taarifa ya fedha.
Kuandaa mafunzo kwa ajili ya kufikisha elimu hiyo kwa wanachama na viongozi wengine katika asasi yetu.

Attachments

« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.