Fungua
dhulusportsclub

dhulusportsclub

mwanzacity, Tanzania

Baadhi ya wanafunzi ya sekondari ya Bismack iliyopo jijini Mwanza wakisikiliza semina ya afya na michezo iliyo fanyika shuleni kwao....mbele ni Kiongozi wa club na Mwanafunzi mwenzao akiwasomea baadhi ya kanuni za afya...

12 Februari, 2013
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

maleba (kigoma) alisema:
hiyo inawasaidia sana waliopo mashuleni maana mitaala haikidhi mahitaji ya vijana.
22 Februari, 2013

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.