Envaya

shirika linajishugulisha na uendeshaji wa miradi iliyoanzishwa baada ya kupata mafunzo ya uibuaji na usimamizi wa miradi kutoka the foundation four civil socierty.miradi tuliyo ibua ni kama ifuatavyo . uchomaji wa tofari na  ufugaji wa kuku, wanachama wanafulahia miradi hii kwa sababu inaonyesha mafanikio makubwa

16 Juni, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.