shirika linajishugulisha na uendeshaji wa miradi iliyoanzishwa baada ya kupata mafunzo ya uibuaji na usimamizi wa miradi kutoka the foundation four civil socierty.miradi tuliyo ibua ni kama ifuatavyo . uchomaji wa tofari na ufugaji wa kuku, wanachama wanafulahia miradi hii kwa sababu inaonyesha mafanikio makubwa
16 Juni, 2011