Envaya

baada ya kufadhiriwa na foundation for civil society kwa miradi tuliyoiombea wanachama na viongozi wameweze kupata elimu na mafanikio makubwa katika utendaji kazi katika shirika uwezo wa kiutendaji kazi umeongezeka ushirikiano wa viongozi umekuwa wa hali ya juu na uwazi katika maswala ya matumizi ya fedha ni mzuri

7 Mei, 2011
Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.