Envaya

chama cha walimu mvomero tanzania

ccm mkoa morogoro, Tanzania

kuwa taasisi yenye utendaji wa hali ya juu katika kuwaunganisha walimu, kutatua kero mbalimbali, zinazowakabili, kuboresha mazingira mazuri ya kazi ya ualimu, kutetea na kubaresha maslahi ya walimu, na kuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda taaluma ya ualimu, na elimu bora kwa kila mtanzania.
Mabadiliko Mapya
chama cha walimu mvomero tanzania imejiunga na Envaya.
2 Juni, 2010
Sekta
Elimu, UKIMWI, Nyingine (policy)
Sehemu
ccm mkoa morogoro, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu