Envaya

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA - IRINGA

Iringa Manispaa, Tanzania

Kuwasaidia walimu katika mambo yao mbalimbali kama kufuatilia madai ya uhamisho, likizo,malimbikizo ya mshahara,fedha za kujikimu, malimbikizo ya mshahara baada ya kupanda madaraja na pia kuihimizi serikali kuwaweka walimu katika mazingira mazuri ya kazi (kufundishia) hasa nyumba za kuishi wanapofanyia kazi.

Mabadiliko Mapya
CHAMA CHA WALIMU TANZANIA - IRINGA imejiunga na Envaya.
4 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
Iringa Manispaa, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu