Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
ibigo by'abafatanya bikorwa

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA

Being a theatre group it will assist CMMUT in adressing issues related to environmental conservation though theatre

Amakuru agezweho
23 Ugushyingo, 2014
9 Ugushyingo, 2014
8 Ugushyingo, 2014
MUEZESHAJI AKIWASILISHA MALIGHAFI ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZEA BIDHAA MBALIMBALI KATIKA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MAFUNZO YALIYOENDESHWA NA MWELA NA KUFADHILIWA NA MWELA VUGA
25 Nzeli, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA hari ibyo yahinduye kuri Imishinga paje.
UTANGULIZI – Mwela theatre group tawi la vuga ni kikundi cha vijana cha kujitolea kilichoanzishwa tarehe 28/1/2010.ni muunganiko wa vijana kutoka katika vijiji vya Kidundai, Kiluwai,Vuga Kishewana Bazo wakaunda Dira ya pamoja ya kuwa na jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza bila kikomo.... Soma ibindi
25 Nzeli, 2013
Picha hapo juu ni: Salimu Hemedi wa gazeti la Mwananchi na Anna wa Magazeti ya Serikali(Habari Leo) wakichukua maelezo kwa washiriki wa mkutano wa uchukuaji wa maoni ya mabadiliko ya katiba mpya Soma ibindi
23 Nzeli, 2013
UTANGULIZI – Mwela theatre group tawi la vuga ni kikundi cha vijana cha kujitolea kilichoanzishwa tarehe 28/1/2010.ni muunganiko wa vijana kutoka katika vijiji vya Kidundai, Kiluwai,Vuga Kishewana Bazo wakaunda Dira ya pamoja ya kuwa na jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza bila kikomo.... Soma ibindi
23 Nzeli, 2013
(1) Kuinua vipaji vya vijana na watoto katika sanaa na michezo – (2) Kulinda na kutangaza utamaduni wa mtanzania ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia – maadili na sheria za nchi – (3) Kutete haki za vijana,wanawake na watoto katika mambo yanayowahusu – (4) ... Soma ibindi
23 Nzeli, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA hari ibyo yahinduye kuri Amateka paje.
mwela theatre group vuga ni tawi la mwela theatre group la Dar-es-salaam tawi hili la mwela lilianza kufanya kazi hata kabla halijakuwa tawi la mwela kilikua kikundi tu cha kijamii kikundi hiki kilianzishwa tarehe 16/4/2006 kikiwa kama kikundi cha wakulima wadogo wadogo na kuelimisha jamii kwa njia hisio rasmi... Soma ibindi
23 Nzeli, 2013
baadhi ya washiriki wakishuka katika gari wakiwa tayari kuelekea ukumbi wa Mkutano
5 Kanama, 2012