Mradi wa Lugha ya Alama uliofadhiliwa na shirika la The Foundation Civil for Society ya Dar es salaam hapa wageni wakuu wa idara za Serikali,Kaimu Afisa Ustawi wa Manispaa na Bibi Hawa Mtui Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wakifungua Mradi wa Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa kata 4 za wilaya Ya Dodoma Mjini,Kikombo,Hombolo,Zuzu na Manispaa