pichani washiriki wa mafunzo yaliyoendeshwa na chavita dodoma kwa ufadhili wa fcs. ni wanachuo na wazazi wa viziwi na viziwi wenyewe yalifanyika ukumbi wa cct dodoma mjin.
moja ya shughuli za midahalo ya chvita dodoma. pichani mtoa mada akielezea jambo kwa washiriki wa mdahalo ulioandaliwa na chavita dodoma walengwa ni wahitimu wa chuo kikuu kitivo cha elimu maalumu mdahalo huu ulifadhiliwa na The foundation for civil society.
pichani ni kwaya ya wanafunzi viziwi wa shule ya viziwi kigwe wakiwa katika kanisa la viziwi kigwe wilayan bahi mkoa wa dodoma.
Moja ya mafunzo ya lugha ya alama yanayoendelea kutolewa na chavita dom kwa wanachuo wa chuo kikuu udom hii ni moja ya program inayoendeshwa na chavita dom. pichani ni mmoja wa walimu wa lugha hiyo bwana yusf mloli ambae ni mwnyekiti chavita mkoa wa dodoma.
Mdahalo wa Wadau wa Maendeleo wakichangia mada ya Ushirikishwaji wa Viziwi katika sekta za maendeleo na huduma za walemavu Viziwi,Mdahalo uliotoa tija ya kupatikana kwa ofisi ya Viziwi na ajira ndogo ndogo.