Viongozi wa mradi pamoja na viongozi wa kata, katika kutambulisha mradi wa Utawala Bora Uwazi na Uwajibikaji.