Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1.tunahitaji waalimu wa kujitolea kufundisha katika elimu ya ufundi stadi kwa vijana walio chini ya miaka kumi na nane(18)

2.tunahitaji waalimu wa kufundisha kozi ya nursing kwa ngazi ya diploma

 

usafiri wa kwenda na kurudi kazini kila siku utawepo. na mahala pa kuishi kwa wale waliotoka mbali.

kwa mawasiliano zaidi

0753696599