Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Katika miaka ya hivi karibuni limefanya kazi kubwa ya kuhudumia jamii baada ya kuwepo kitengo cha kuhudumia watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kinachojulikana kwa jina la BAK/AIDS chenye makao yake makuu huko Dar es Salaam.

Pia BAKWATA SERENGETI kupitia michango mbalimbali ya waumini na wahisani imeendelee kusaidia watu wenye ulemavu, wanawake wajane, wazee, watoto na vijana ili wapate haki zao za msingi ambazo ni:-

  • Elimu
  • Afya
  • Maendeleo ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa jumla
  • Lishe bora
  • Makazi bora

.