Envaya

large.jpg

Waumini wakiwa katika harakati za ujenzi 2

2 Gicurasi, 2013
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (5)

Mzee Mrisho a.k.a barozi wa mtaa mwema bavuzeko
Mimi nawaombea kwa mungu awape afya na umri mrefu, ila nashauri muweke na ukurasa wa mafunzo tupate elimu ya dini na nyinginezo kwa faida ya wote
13 Gicurasi, 2013
Bi Zainab (Mugumu) bavuzeko
Ni kama mujiza sisi waislam wa serengeti leo tunatoka vichakan hadi nchi za nje, mungu awalipe kila la kheri viongozi wetu.
13 Gicurasi, 2013
Abubakary (Mugumu) bavuzeko
BARAKALLAHU FIIKUM katika hayo mliyoyakusudia kuyatenda
14 Gicurasi, 2013
Sheikh {W} Serengeti (Mugumu) bavuzeko
ALLAHUMMA AMIN,
Bw Abubakar ahsante kwa dua yako njema.
16 Gicurasi, 2013
Sheikh {W} Serengeti (Mugumu) bavuzeko
Inapendeza kupata maoni kutoka kwenu wazee wetu.
Mzee Mrisho, wazo lako ni la msingi litafanyiwa kazi.
16 Gicurasi, 2013

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.