Envaya

large.jpg

Hii ni nyumba iliyojengwa na Waumini kwa ajili ya nduguyetu wenye Ulemavu wa macho Bwana OMARY Mkazi wa kijiji cha Burunga

2 Mei, 2013
Ifuatayo »

Maoni (4)

shabani d simbi (natta serengeti) alisema:
assalam aleykum allah awafanyie wepesi kwa kupanua wigo kufungua akaunt maoni yangu naomba msambaze walim wa madras vijijini kwa sababu uislam unafifia
13 Mei, 2013
(Afahamiki) (Mugumu Serengeti) alisema:
Mimi naomba muwe masomo ya dini tunawauliza maswali mnatujibu kupitia hapo tovut yenu km wanavofanya wengine.
15 Mei, 2013
Sheikh {W} Serengeti (Mugumu) alisema:
Bwana Shaban, tutajitahidi tufanye kama unavyoshauri.
ahsante endelea kutupatia mawazo kila upatapo jambo la kutukumbusha.
16 Mei, 2013
ust abuba (mwanza) alisema:
allah awajaze khel inshalla
29 Januari, 2014

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.