Envaya

KAZI NA UMUHIMU WA VIJANA KATIKA JAMII

BARAKA GOODHOPE ORPHAN'S DEVELOPMENT (Tanzania)
6 Februari, 2013 14:55 EAT

Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, kijana anatakiwa kuwa na umri kati ya miaka 15 hadi 35 ambaye ni nguvu kazi katika jamii, lakini vijana wengi uonekana kuwa na hali duni ya maisha wakati wao wanao uwezo wa kufanya kila aina ya kazi na kuleta mabadiliko katika jamii.Je sababu kubwa inayomfanya kijana kuwa nyuma katika kipato ni ipi?    


Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.