Katika chaguzi zilizomalizika hivi karibuni ndani ya chama cha mapinduzi zimegubikwa na tuhuma za wagombea kuhonga wapiga kura, je nini hatima ya wagombea masikini ni kweli wataweza kushika madaraka ya kichama au kiserikali endapo hali hii haitakemewa na viongozi wa juu?