Log in
ASASI YA KUHIFADHI MAZINGIRA  KIMANG'A ( AKUMAKI )

ASASI YA KUHIFADHI MAZINGIRA KIMANG'A ( AKUMAKI )

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

HILI NI ENEO LILE LILE LA JIJI LA TANGA KATIKA KITONGOJI CHA AMBONI NIMOJA YA KIVUTIO KIZURI NA CHAKUPENDEZA KAMA MAPANGO YA AMBONI MSITU HUU UNAMAAJABU YA KITABIA DUNIA NDANI YA MSITU HUU KANA MAJABALI YA KUVUTIA KWA BIASHARA YA KITALII HAPA KATIKA JIJI LA TANGA ENDAPO MAZINGIRA HAYA HAYATA HARIBIWA NA MITI KUKATWA OVYO KWA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

 

large.jpg

UHUU NI UFUKWE WA BAHARI YA HINDI KATIKA ENEO LA KITONGOJI CHA AMBONI MKOANI TANGA WANA AKUMAKI WALITEMBELEA NA KUONA FAHARI YA WATANZANIA WALIO NAYO MAENEO HAYA HAJA PATA ELIMU TAYARI MANDARI ZAO NI MZURI JE? WAKAPATIWA ELIMU NINI KITATOKEA KATIKA SEHEMU HII HITAZAME NA KUTAKA KUJUA ZAIDI ONANA ASASI YAKUHIFADHI MAZINGIRA KIMANG'A (AKUMAKI)

large.jpg

MANDARI HII NI MANDARI YA MITI WA PWANI KAMA MIKOKO, MIKANDAA,MICHWI,NA MIKOMAVI JUHUDI ZA SERIKARI NA SISI WANA ASASI NIKUIOLEA MACHO KWA KASI ZETU ZOTE MAENEO KAMA HAYA YASIHARIBIWE NA KUTEKETEZWA NA WATU WASIO JULIKANA KAMA VISEMAVYO VYOMBO VYA HABARI BAADA YA MATUKIO MABAYA KUTOKEA KATIKA ENEO LA TUKIO

large.jpg

MAITAJI MAKUBWA NI JAMII KUELIMISHWA TU RAHA KAMA HIZI NI FAHARI KWETU SISI WA TANZANIA

large.jpg

WANA AKUMAKI WALIFANYA ZIARA YAKUTEMBELEA MAENEO AMBAYO WATAFANYA KAZI ZA KULINDA NA KUTUZA WAKAPATA SEHEMU HII WANAYO MPANGO KAZI WANAYO UTAYARISHA KWA SHUGULI RASIMI

large.jpg

ENEO LOTE HILI NI MOJA AMBALO LIMECHOMWA MOTO NA WAWINDAJI WANYAMA KAMA NDEZI,KANGA, NA MBAA NA WAWINDAJI AMBAO SIO RASIMI

large.jpg

HILI NI SHAMBA LA MITI AINA YA MIKARATUSI HILIYO PANDWA NA WAMILIKI WA SHAMBA LA MKONGE JAMII BILA YA KUJALI NA UKOSEFU WA ELIMU  YA  MAZINGIRA WAMELITIA MOTO NA HAWAJUWI KUA MITI NI UHAI KWA WANADAMU NA VIUMBE VINGINE HAPA DUNIANI NA KUKUA KWA MITI HII HATA HALI YA HEWA YENGE PATIKA KUA SAFI NA YAKUFUTIA KUTOKANA NA MITI HII KUWEPO KARIBU NA BAHARI YA HINDI

large.jpg

SHULE KAMA SHULE HAINA HATA BUSTANI JE MAJUMBANI HIKO BUSITANI?

large.jpg

NIWAZI KUA ELIMU YA MAZINGIRA NI MUHIMU KWA MASHULE YETU HILI JAMII HIWE NA UPENDO NA MAZINGIRA MAZURI NA BORA

large.jpg

HAYA NI MANDARI YA SHULE KWA SASA