Injira
African Heritage Foundation

African Heritage Foundation

Dar es Salaam, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

UTEUZI WA MSHAURI WA MASWALA YA AFYA WA SHIRIKA.

Mkurugenzi wa shirika la AHF nchini  Tanzania bwana Albert.T.Msafiri amemteua rasmi Dr Oswad Lyapa kuwa mshauri wa shirika hilo katika maswala ya afya, uteuzi huo umethibitishwa na Dr. Frank Mukiza ambae ni mkurugenzi wa shirika hilo nchini  Uingereza. Pia Dr Oswad atakua na jukumu  la kuongoza timu ya madaktari na wauguzi watakao jitolea kutoa huduma za afya sehemu mbalimbali ndani na nje ya inchi.Dr. Oswad ambaye kwa sasa yupo katika hospitali ya mwananyamala jijini Dar es salaam amepoke kwa furaha kubwa uteuzi huo na kuaidi kutekeleza wajibu wake kwa bidii na ufanisi mkubwa.

Pichani ni Dr Oswad Lyapa

15 Ukuboza, 2010
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (2)

[Siba igitekerezo]
Noel Richard bavuzeko
Napenda kumpongeza Dr Oswad Lyapa kwa kuteuliwa kuwa mshauri wa maswala ya afya wa AHF,Tumaini langu tumepata mtu thabiti na mchapa kazi hongera kwa kuteuliwa.
16 Ukuboza, 2010
Radhina Kipozi bavuzeko
Envaya pia inatoa pongezi kwa Dr Oswad Lyapa kwa kuteuliwa tunakutakia mafanikio zaidi na zaidi.
16 Ukuboza, 2010

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.