Shirika la AFNET lili sajliwa mwaka 2002 nakupata namba ya usajili SO.11296 . Kwasasa linafanya kazi katika mkoa mzima wa Iringa Hususani Shuguli za kina mama Dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia . Tuna wakaribisha wale wote wanao Fanya shughuli zinazo husu Wanawake
4 Oktoba, 2011