KUJIUNGA NA ABHASU
Kwa mtu yeyote anayetaka kujiunga na shirika hili anakaribishwa kutuma maombi kwa mwenyekiti wa shirika ambaye atampatia fomu ya kujaza. Fomu hii italipiwa Tsh 1000/- [elfu moja tu]. Hakikisha umeisoma katiba na kuelewa madhumuni,malengo na faida ya uanachama kwanza. Nakala ya katiba imeeambatanishwa hapa chini.ABHASU_KATIBA_NEW.docx
Wenu Katibu Mkuu
ABHASU
30 Aprili, 2012