Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

large.jpg

Playing is one of the important strategies used in early childhood teaching and learning activities. Here are the preschool children playing in a madrasa preschool program.

9 Mei, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (3)

wahida ali (magogoni) alisema:
Mi nataka kujua hii jumuia iko mwanakwerekwe sehemu gani
23 Mei, 2013
Mohamed Othman Dau (ZPMO Coordinator) alisema:

Asante Bi Wahida kwa kuonesha hamu ya kutaka kujua wapi Jumuiya ya Skuli za Maandalizi za Madrasa ipo. Jumuiya hii iko Mwanakwerekwe nyuma ya skuli ya Mwanakwerekwe C, karibu sana na jumuiya ya ZANGOC.

25 Mei, 2013 (ilihaririwa 25 Mei, 2013)
Nduunguru,Noel (lindi) alisema:
Mimi ni mratibu wa kituo cha walimu likotwa (TRC)hapa lindi manispaa, tumewahi kufanya kazi pamoja na zmrc katika mradi wa CREATE, vp tunaweza kushirikiana kuendeleza elimu ya awali (maandalizi) kwa walimu wetu wa huku LInd?
22 Mei, 2014

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.