ZANZIBAR CURRENT GENERATION FORUM INATEGEMEA KUPANDA MITI 450 KATIKA ENEO LA MTO PEPO , ZANZIBAR KESHO TAREHE 28/05/2011 KATIKA SHAMRA SHAMRA ZA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI NA MGENI RASMI ANATARAJIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO NA MALI ASILI ZANZIBAR ND: AFFAN OTHMAN MAALIM NYOTE MNAKARIBISHWA......
Ibitekerezo (1)