YOCOSO imeweza kufanya matamasha katika kata tano za wilaya ya Moshi yenye lengo la kuongeza uelewa kwa wananchi wa kata hizo kutambua umuhimu wa kufanya ufuatiliaji wa rasilimali za uma (PETS). katika picha ni moja ya matamasha katika kata ya Mabogini.
October 10, 2017