Envaya
Washema kwa sasa inaendesha mikutano ya kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.Mikutano hii pia inafanya shughuli za kubaini changamoto zinazoweza kujitokeza katika zoezi hilo.Kata husika ni Lukuledi, Nanganga na Chiungutwa na imeanza Machi 1na kuendelea hadi mwezi Juni.
March 16, 2015
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.