Envaya

                    DIRA(VISION)

                        JAMII  ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA

               DHAMIRA(MISSION)

KUTOA ELIMU KWA JAMII YA WATANZANIA JUU YA MAMBO YA KIMAENDELEO

KUHAKIKISHA TUNAKUWA NA JAMII INAYOJITAMBUA

KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO ITOKAYO KWA WAFADHIRI KWENDA KWA JAMII YA WATU WA CHINI

KUIWAKILISHA JAMII KATIKA MASWALA YAHUSUYO MAENDELEO

KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUHAKIKISHA TUNAKUZA ELIMU YA UFAHAMU WA MAMBO MAMBALI MBALI

                     MADHUMUNI

  1. KUJENGA SHULE NA VYUO ILI KUJENGA UWEZO WA VIJANA WETU KIMWILI NA KIAKILI 
  2. KUUNGANISHA NGUVU YA PAMOJA ILI KULETA MAENDELEO KWA JAMII
  3. KUWAPA HUDUMA ZA KIJAMII YATIMA NA WASIOJIWEZA
  4. KUSHIRIKI KATIKA KUKUZA UMOJA NA MAENDELEO NDANI NA NJE YA NCHI
  5. KUSHIRIKIANA NA TAASISI NYINGINE ZA KIDINI NA NG'Os MBALIMBALI NDANI NA NJE YA NCHI KATIKA KULETA MAENDELEO KWA JAMII

                                       IDARA: 

                                                                                             IDARA YA: UCHUMI              IDARA YA: FEDHA

 

 IDARA YA: MIPANGO           IDARA YA: VIJANA

 

                       IDARA YA: WANAWAKE

 

       IDARA YA: MAHUSIANO NA USTAWI WA JAMII

                                                                          

 

  •                 ORODHA YA WANACHAMA

 

Mabadiliko Mapya
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) imeongeza Habari 4.
5 Aprili, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) imehariri ukurasa wa Mkuu.
DIRA(VISION) – JAMII ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA ... Soma zaidi
22 Machi, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) imeongeza Habari.
KUTOKA KUSHOTO NI YAZIDU OMARI JAMBIA SHEIKH WA KATA YA VUGA AKIWA NA MWENYEKITI WA KITUO OFISI YA VUGA HASSAN HUSEIN SHESHEMNYIKA WAKIKAGUA BARABARA INAYOPITA KATIKA ENEO LA WAISLAAM WA VUGA LINALOTARAJIWA KUJENGWA SHULE YA AWALI,HADI KIDATO CHA 6. Soma zaidi
19 Machi, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) imeongeza Habari 7.
WANACHAMA WA TAASISI YA THE VUGA ISLAMIC CENTRE WAKIWA KATIKA MKUTANO WA PAMOJA WAKIJADILIANA JUU YA UJENZI WA SHULE YA AWALI NA KIDATO CHA 5, WAKIWA KATIKA UKUMBI WA AL-HARAMAIN KARIAKOO DAR-ES-SALAAM.. Soma zaidi
13 Machi, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) imeongeza Habari 7.
WAISLAAM WA VUGA KINA MAMA NA WANA MADRASA WAKIWA KATIKA BARAZA LA IDD LA UHAMASISHAJI UJENZI WA SHULE YA KIDATO CHA 5 NA 6 VUGA MGHAMBOI, ILIOFANYIKA VIWANJA VYA MSIKITI WA VUGA Soma zaidi
12 Machi, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) imeongeza Habari.
20 Januari, 2013
Sekta
Sehemu
LUSHOTO, Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu