Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

                    DIRA(VISION)

                        JAMII  ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA

               DHAMIRA(MISSION)

KUTOA ELIMU KWA JAMII YA WATANZANIA JUU YA MAMBO YA KIMAENDELEO

KUHAKIKISHA TUNAKUWA NA JAMII INAYOJITAMBUA

KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO ITOKAYO KWA WAFADHIRI KWENDA KWA JAMII YA WATU WA CHINI

KUIWAKILISHA JAMII KATIKA MASWALA YAHUSUYO MAENDELEO

KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUHAKIKISHA TUNAKUZA ELIMU YA UFAHAMU WA MAMBO MAMBALI MBALI

                     MADHUMUNI

  1. KUJENGA SHULE NA VYUO ILI KUJENGA UWEZO WA VIJANA WETU KIMWILI NA KIAKILI 
  2. KUUNGANISHA NGUVU YA PAMOJA ILI KULETA MAENDELEO KWA JAMII
  3. KUWAPA HUDUMA ZA KIJAMII YATIMA NA WASIOJIWEZA
  4. KUSHIRIKI KATIKA KUKUZA UMOJA NA MAENDELEO NDANI NA NJE YA NCHI
  5. KUSHIRIKIANA NA TAASISI NYINGINE ZA KIDINI NA NG'Os MBALIMBALI NDANI NA NJE YA NCHI KATIKA KULETA MAENDELEO KWA JAMII

                                       IDARA: 

                                                                                             IDARA YA: UCHUMI              IDARA YA: FEDHA

 

 IDARA YA: MIPANGO           IDARA YA: VIJANA

 

                       IDARA YA: WANAWAKE

 

       IDARA YA: MAHUSIANO NA USTAWI WA JAMII

                                                                          

 

  •                 ORODHA YA WANACHAMA

 

Amakuru agezweho
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) yongeyeho 4 Amakuru agezweho.
5 Mata, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) hari ibyo yahinduye kuri Ahabanza paje.
DIRA(VISION) – JAMII ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA ... Soma ibindi
22 Werurwe, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) yashyizeho Amakuru agezweho.
KUTOKA KUSHOTO NI YAZIDU OMARI JAMBIA SHEIKH WA KATA YA VUGA AKIWA NA MWENYEKITI WA KITUO OFISI YA VUGA HASSAN HUSEIN SHESHEMNYIKA WAKIKAGUA BARABARA INAYOPITA KATIKA ENEO LA WAISLAAM WA VUGA LINALOTARAJIWA KUJENGWA SHULE YA AWALI,HADI KIDATO CHA 6. Soma ibindi
19 Werurwe, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) yongeyeho 7 Amakuru agezweho.
WANACHAMA WA TAASISI YA THE VUGA ISLAMIC CENTRE WAKIWA KATIKA MKUTANO WA PAMOJA WAKIJADILIANA JUU YA UJENZI WA SHULE YA AWALI NA KIDATO CHA 5, WAKIWA KATIKA UKUMBI WA AL-HARAMAIN KARIAKOO DAR-ES-SALAAM.. Soma ibindi
13 Werurwe, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) yongeyeho 7 Amakuru agezweho.
WAISLAAM WA VUGA KINA MAMA NA WANA MADRASA WAKIWA KATIKA BARAZA LA IDD LA UHAMASISHAJI UJENZI WA SHULE YA KIDATO CHA 5 NA 6 VUGA MGHAMBOI, ILIOFANYIKA VIWANJA VYA MSIKITI WA VUGA Soma ibindi
12 Werurwe, 2013
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) yashyizeho Amakuru agezweho.
20 Mutarama, 2013
Ibyiciro
Aho uherereye
LUSHOTO, Tanga, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye