VOYOHEDE inapeda kuwapa taarifa wanaharakati vijana na vijana wote hususani wanaoishi mkoani MTWARA kuwa kutakuwa na kambi ya viana ya KITAIFA itakayofanyika jijini Dar es salaam katika kampasi ya chuo kikuu cha Dar es salaam kuanzia tarehe 29 july 2013.
Kambi hiyo inalengo la kubadilisha fikra za vijana kuhusu ajira na maisha, kambi hiyo imefadhiliwa na kuandaliwa na International Youth Fellowship(IYF) gharama za kuchangia ni Tsh 10000 tu kwa kila kijana, gharama hiyo imejumuisha mahitaji yote muhimu kama malazi, chakula na tiba ya dharula. T shirt na vipeperushi na vitabu mbalimbali pia vitagawiwa. Hakikisha hukosi katika kongamano hili muhimu, kwa wanaotoka mbali hakutakuwa na nauli, jisajili mapema nafasi ni chache. Kwa maelezo zaidi wasiliana na waratibu wa KAMBI simu namba +255 659 15 22 77. Kumbuka zimebaki siku 14 tu, "KIJANA CHANGAMKA"
Deo Makoti
MKURUGENZI.
Ibitekerezo (1)