Fungua
Victory Agency Tanzania Trust

Victory Agency Tanzania Trust

keko/temeke, Tanzania

NI kutoa elimu katika jamii inayoishi katika mazingira magumu kuelisha kuhusu uchumi, yakijamii na mazingira pia kujenga uelewa juu ya mambo hayo.
Mabadiliko Mapya
Victory Agency Tanzania Trust imeongeza Habari.
tunatoa mafunzo ya elimu ya watu wazima(mukeja) kila jumanne na alhamisi fika matimira bar tunatoa mafunzo bure kwa msaada wa Hanns Sendel Foundation kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni, tunafundisha kwa njia ya reflect.pia tunfundisha masomo ya ujasiliamali kwa vitendo kama, kutengeneza sabuni na kusindika chakula(food processing)
24 Aprili, 2010
Victory Agency Tanzania Trust imejiunga na Envaya.
24 Aprili, 2010
Sekta
Sehemu
keko/temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu