Alliance for Women,children and Youth survivors(AWCYS) At Nguvumali Secondary School In Tanga Town through our project "USIACHIE BINTI, ZINGATIA MASOMO"
Present Theater for Development(TFD) to create an awareness in the community venues, in a participatory way to excite school community members to enter into actions including to search for reality of early pregnancy and unsafe abortion, analyse them and suggest the possible solutions. With great support from Pathfinder International
Swahili:
Alliance for Women,children and Youth survivors(AWCYS) tukiwa shule ya sekondari Nguvumali Tanga Mjini kupitia mradi na kampeni ya "USIACHIE BINTI, ZINGATIA MASOMO"
Kupitia Maonesho ya wazi ya sanaa shirikishi juu ya mimba za utotoni na utoaji wa mimba kwa njia isio salama, kwa kuhamasisha jamii kupitia njia shirikishi ili hatua stahiki zichukuliwe na kupatikana ukweli juu ya utoaji wa mimba za utotoni na utoaji wa mimba kwa njia isio salama, kuzielezea na kushauri nini kifanyike. Kwa hisani ya Pathfinder International