Envaya

Tanzania Women of Action(Tawa)

Dar es salaam, Tanzania

Tanzania women of Action ni shirika lisilo la kiserikali ambalo limeanzishwa na baadhi ya wanawake lenye nia ya kufanya kazi na jamii ya wanawake na watoto.Shirika hili limeanzishwa hapa Dar es salaam na limejisajili kufanya kazi Tanzania nzima,Tawa imeanzishwa mwaka 2007 na kusajiliwa mwaka 2012.Kazi kubwa ambayo imeishafanywa na Tawa ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kujitegemea kwa kjifanyia biashara zao wenyewe,kama vile ushoaji, kuchonga vinyago,kutengeneza sabuni na mengine mengi,Tumejikita pia kwenye utafiti wa maisha ya kila siku ya mwanamke ambapo tumeshachangia kwenye majalida mbali mbali katika Afrika kwa ujumla

Mabadiliko Mapya
Tanzania Women of Action(Tawa) imeongeza Habari.
Tanzania women of Action Tawa inawatakia heri ya mwaka mpya 2013
27 Desemba, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) imeongeza Habari.
On suturday 24th Tawa and other stake holders joined the 50 plus campaign which was organized by Tanzania 50 plus Campaign This campaign is coordinated by Dr E mannuel kandusi a prostate cancer survival ,and also a Managing director for Center For human Rights Promotion where 50 plus campaign is one of its... Soma zaidi
28 Novemba, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) imeongeza Habari 5.
13 Novemba, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa): Remeber we are all human being created equally but have the different needs.So do not discriminate other women because of their sexual orientation
29 Oktoba, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa): we are invitimg people to the discuission
29 Oktoba, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa): As other women issues if we descuss the women, we should also consider the group menttioned above Discrimination, and stigma to women with the same relationships ia unfair
29 Oktoba, 2012
Sekta
Sehemu
Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu