Picha hiyo hapo juu inaonyesha ni jinsi gani wahanga wa mafuriko walivyoathirika na bado wapo katika hali hatarishi ukizingatia bado maji yametuama na ndiyo chanzo cha magonjwa ya mlipuko pamoja na maralia na pia inaonyesha jinsi gani wananchi hao walivyopoteza makazi pamoja na mali zao,
Kama maji yanavyoonekana katika nyumba hiyo ni dhahili kwamba magonjwa ya mlipuka ikiwemo malaria ni lazima yatokee katika eneo hili ,hivyo hatua za haraka zichukuliwe ili wananchi wasizidi kuathirika
Maoni (3)