Log in
Tanzania Women of Action(Tawa)

Tanzania Women of Action(Tawa)

Dar es salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Interview 8

1.Unaishi eneo gani?!

Magulumbasi 'B'

2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!

  • Nyumba zilizoharibika watusaidie kuzirekebisha.
  • Tupewe eneo maalumu la kuweka taka zinazoziba mifereji.
  • Kuta zinazoziba njia ya maji zibomolewe.

3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi nna vitu vyako?!

Vitu vyangu vyote vya ndani vimepotea.

4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!

  • Mume wangu amenikimbia kutokana na ugumu wa maisha na majukumu kuongezeka baada ya mafuriko.
  • Magonjwa kwa watoto.
  • Uchafu umezunguka nyumba kuhatarisha afya ya familia yangu.

5.Vyanzo vya ubora wa maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?!

  • Kisima kimeharibika hivyo tunakosa maji ya kutumia.
  • kujengwe mifereji itayosaidia kupitisha maji taka kwenye sehem maalumu yasizagae mitaani na kwenye nyumba za watu.

6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani mpaka eneo lako la kazi?!

Sina kazi ni mama wa nyumbani.

January 31, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.