Fungua
Tanga Village Support Programme

Tanga Village Support Programme

Tanga, Tanzania

Kuinua kipato cha jamii hususani wanawake.

Kuelimisha jamii kuhusu kuondokana na umaskini, kudhibiti Ukimwi, kuhifadhi mazingira na masuala ya jinsia kwa ujumla.

Kuelmisha wakulima wadogo na wakubwa, wafugaji na wavuvi kupata mazao mengi, mifugo bora na uvuvi halali na salama.

Mabadiliko Mapya
Tanga Village Support Programme imeongeza Habari.
J'pili kutakua na mkutano katika ukumbi wa railway club saa 4 asubuh kwa wanachama wote na hata wanaotaka kujiandikisha uwanachama munakaribishwa nyote..
18 Desemba, 2010
Tanga Village Support Programme imeongeza Habari.
Tareh 19 mwezi huu Bodi imepanga kukaa kikao kwa ajili ya kupanga mikakati ya miradi ya maendeleo.
1 Desemba, 2010
Tanga Village Support Programme imehariri ukurasa wa Historia.
Tokea kwa kuanzishwa kwa shirika letu ni mwaka wa3 sasa tokea 2007. Ikiwa kuna watu 5 tu lakini sasa kuna wanachama zaidi ya 20 wametupa msukumo wa kuanzisha bodi ikiwa ni moja ya kufuata taratibu za serekali. Na kuachia bodi kupanga taratibtu zake za kiutendaji kupitia vikao vya kila mwezi.Shirika letu limesajiliwa na serekali tangu 2007... Soma zaidi

28 Novemba, 2010
Tanga Village Support Programme imeumba ukurasa wa Historia.
Tokea kwa kuanzishwa kwa shirika letu ni mwaka wa3 sasa tokea 2007. Ikiwa kuna watu 5 tu lakini sasa kuna wanachama zaidi ya 20 wametupa msukumo wa kuanzisha bodi ikiwa ni moja ya kufuata taratibu za serekali. Na kuachia bodi kupanga taratibtu zake za kiutendaji kupitia vikao vya kila mwezi.Shirika letu limesajiliwa na serekali tangu 2007... Soma zaidi
25 Novemba, 2010
Tanga Village Support Programme imeongeza Habari.
Wiki hii tuliongelea kuhusu bodi ya utendaji kuchambua katiba pamoja na wanachama wote.
24 Novemba, 2010
Sekta
Sehemu