Tulijadili kuhusu kutolewa kwa fomu za mwanachama wanaotaka kujiunga na kiasi cha kulipia fomu ya uwanachama pamoja na mchango wa kila mwezi kwa pamoja tukakubaliana wanachama wali muomba mwenyekiti akaunt ya benk ili kila mwenye mchango wake anapelika benk analeta risiti kwa mwenyekiti.
Comments (1)