Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Tokea kwa kuanzishwa kwa shirika letu ni mwaka wa3 sasa tokea 2007. Ikiwa kuna watu 5 tu lakini sasa kuna wanachama zaidi ya 20 wametupa msukumo wa kuanzisha bodi ikiwa ni moja ya kufuata taratibu za serekali. Na kuachia bodi kupanga taratibtu zake za kiutendaji kupitia vikao vya kila mwezi.Shirika letu limesajiliwa na serekali tangu 2007 natulijitahidi sana kuwafahamisa vijiji nia yetu ni nn? lalituelewa na kuahidi kushirikiana mpaka tuna leta maendeleao katika ukanda wa mwambao nakua na wanachama wengi zaidi ilitufanikishe nia yetu ya kuleta maendeleo katika mkoa wetu wa Tanga pamoja na vijiji vyake Tumefanikiwa kutembelea vijiji vingi tu na MOA, KWALE, MANZA, KICHALIKANI Ambako ndio kuna makao makuu ya shirika letu.Tume wapa elimu yakutunza mazingira na kujiajiri mwenyewe kwa kutumia rasilimali za asili na kuku ingizia kipato.