Parts of this page are in Swahili. Edit translations
SHIRIKA LA TRATET LILIANZA RASIMI MWAKA2010 MARCH NA LIMESAJILIWA KISHERIA.
LENGO LA HIRIKALETU NI KUINUA KIWANGO CHA ELIMUHASA KWAWATOTO WA KIKE KWAJAMIIYA WAKULIMA NA WAFUGAJI
KUTOAELIMU JUU YA MADHARA KUHUSU UKEKETAJI KWAWATOTO WA KIKE.
KUTOA ELIMU JUU YA MILA POTOFU KUHUSU MADHARA YA KURIDHI WAJANE NAKUACHA WATOTO YATIMA KWA SABABU YA UGONJWA WA UKIMWI