Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
MWENYEKITI WA CHAVITA MKOA WA TANGA BW ALLY NASSORO AKIMSHUKURU MGENI RASMI
MGENI RASMI AFISA TAWALA WA WILAYA YA KOROGWE AKIPOKEA RISALA YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHAVITA MKOA WA TANGA MWAKA 2011
JIHADHARI NA UKIMWI NI UJUMBE AMBAO KILA MWANAJAMII ANATAKIWA KUUSOMA NA KUUELEWA NA KUCHUKA TAHADHARI NA KUSAIDIA MAKUNDI YA WATU WENYE ULEMAVU KUONDOKANA NA HALI YA KUPATA MAAMBUKIZI.
WANACHAMA WA CHAVITA WILAYA YA KILINDI WAKIWAKATIKA MAFUNZO YA UKIMWI OKTBA 2011