Shirika liko katika hatua za mwisho za kuanzisha huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa Hiyari wa Virusi vya UKIMWI kwa wakazi wa Mkoa wa Morogoro kuanzia Jumatatu ya Tar 7/06/2010.....
Wote mnakaribishwa!!!!!!!!!
Wote mnakaribishwa!!!!!!!!!
3 Juni, 2010