Wanafunzi wakiwa katika mitihani ya maandalizi kwa ajili matayarisho ya kukabiliana na mitihani ya Kitaifa.
Mitihani hii iliandaliwa na Jumuia ya PEDO mwishoni mwa mwezi wa May,2011 kabla ya kufanyika kwa mitihani ya Wilaya iliyoandaliwa na Wizara ya Elimu na baada ya hapo kufanya mitihani ya Taifa mnamo mwezi wa Octoba,2011.
Mitihani hii ilikuwa ni kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza, cha pili, cha tatu na cha nne na kushirikisha wanafunzi tofauti wa skuli zote za Wilaya ya Chake Chake Pemba.
Comments (1)