Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
TTB HABARI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mh Prof. Jumanne Maghembe amemteua Bw. Philip Chitaunga (pichani kulia)kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania kuanzia tarehe Machi 1,2016. Bofya hapa kupata habari zaidi